Toyota Opa 2005 Transmission: Automatic _ AC inafanya kazi vizuri _Mirror za umeme (automatic) _Sport Rims zenye muonekano wa kisasa. _Gari imetunzwa vizuri na iko tayari kwenda barabarani _Lock zote zinafanya kazi Document zote zipo, iko tayari kuhamishwa BEI:TZS 5,500,000/= (Maongezi yapo kwa aliye serious) 0611200803 Piga/SMS/WhatsApp