Explore Land for sale in Mwanza. Find great deals on different products including electronics, furniture, vehicles & more from verified sellers on Zoom Tanzania.
KIWANJA KINAUZWA KISESA KONA YA KAYENZE -kiwanja kipo jirani na chuo cha mipango na stendi -Ukubwa wa kiwanja ni Sqm 5,741 -kina hati miliki ya wizara ???? 0743220097
VIWANJA TISA (9) VINAUZWA KISESA - IGEKEMAJA -Ukubwa wa viwanja ni 25x20, 30x20 na 30x30 -bei Inaanzia Milioni Tsh 5 na kuendelea -ruksa kununua kimoja au zaidi ☎️ 0743220097
Kiwanja kinauzwa buswelu mtaa wa bujingwa -kiwanja cha 2 kutoka barabara ya mtaa -ukubwa wa kiwanja ni sqm 327 -kina hati miliki ya wizara -bei milioni 6
Kiwanja kinauzwa buswelu - ilalila jirani na shule ya nebrix -kiwanja kina ukubwa wa sqm 405 -kiwanja kimepimwa tayari -bei Milioni 2 na laki 5 -umeme, maji na barabara vyote vipo
KIWANJA KINAUZWA NYASHISHI - MWABEBEYA -ukubwa wa kiwanja ni 20x22 -kiwanja kimepimwa tayari -umeme, maji na barabara vipo -bei Milioni 2 ???? 0743220097
BUSWELU ROUND ABOUT YA ILALILA KIWANJA CHA KWENYE LAMI KINAUZWA -ukubwa wa kiwanja 33x15 = 508 SQM -kiwanja kina hati miliki ya wizara -kiwanja kipo location nzuri Bei milioni 10 Kiwanja cha pili (2) kutoka kwenye lami
JUMLA YA VIWANJA 127. ( vimepimwa ) VINAUZWA KISESA - MATELA -viwanja vipo KM 30 kutoka mwanza mjini -viwanja vyote vimepimwa na vina bicons -bei Milioni 300 kwa viwanja vyote 127 -umeme, maji na barabara vyote vipo -viwanja vipo mita 700 kutoka barabara ya lami
Kiwanja kinauzwa mjini kati -ukubwa wa kiwanja ni 25X20 =500 sqm -kina hati miliki ya wizara mkononi -bei Milioni 400 ( punguzo lipo ) -panafaa kwa makazi au biashara
KIWANJA KINAUZWA NYEGEZI MAJENGO MAPYA -ukubwa wa kiwanja ni Sqm 1,400 -kiwanja kina hati miliki ya wizara -bei Ni Milioni 57 ( punguzo lipo ) ☎️ 0743220097
KIWANJA CHA BARABARA YA LAMI KINAUZWA BUSWELU -ukubwa wa kiwanja ni 1,860 Sqm -kiwanja kina hati miliki ya wizara -kiwanja kina fensi na geti tayari -bei Milioni 66 ( punguzo lipo ) ☎️ 0743220097
Eneo linauzwa pasiansi -ukubwa wa kiwanja ni 30X15 -kina hati miliki ya wizara -bei Milioni 100 NB:- kiwanja cha 3 kutoka barabara ya lami ( airport road )
ENEO ( INDUSTRY AREA ) LINAUZWA MISUNGWI -ukubwa wa eneo ni 73,928 SQM -matumizi ni biashara, kiwanda n.k -lina hati miliki ya wizara 99yrs -bei Tsh Milioni 120
VIWANJA VINAUZWA NYASHISHI CENTER -ukubwa wa kila kiwanja ni 30X20 -umeme, maji na barabara vipo -ruksa kununua kimoja au zaidi -viwanja vipo mtaa mzuri sana -bei Ni Milioni 6 na laki 5 kila kimoja ☎️ 0743220097
Very Big plots (1.3 & 1.8 hectares) are available for sale along Musoma road (kisesa area) and Shinyanga road (Nyashishi). They are suitable for tractor and big trucks showroom. Contact me now 0754810853