Explore Everything for sale in Dar es Salaam. Find great deals on different products including electronics, furniture, vehicles & more from verified sellers on Zoom Tanzania.
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA -ina vyumba vinne vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -nyumba moja ndani ya fensi -nyumba iko karibu na barabara ya lami -kodi Milioni 7 kwa mwaka -malipo ni mwaka mzima ???? 0743220097