NYUMBA INAUZWA ILEMELA JIRANI NA MWANZA AIRPORT -ina vyumba vitatu vya kulala ( viwili ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo, extra room na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni SQM 1,123 -ina hati miliki ya wizara (99 yrs ) -ina Air condition, makabati, servant quater, standby generator na car parking space kubwa -nyumba ya kwanza kutoka barabara y...
NYUMBA INAPANGISHWA MADUKA TISA -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Mil 5.5 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -familia 4 ndani ya fensi -nyumba iko karibu na barabara ya lami ☎️ 0743220097
KIWANJA KINAUZWA ILEMELA -ukubwa wa kiwanja ni SQM 1,000 -kina hati miliki ya wizara ( 99 yrs ) -matumizi ya kiwanja ni makazi -kiwanja kina fensi pande tatu -bei Milioni 180 ( maongezi yapo ) ☎️ 0743220097