3 Electronics For Sale in Tanzania
Discover a vast selection of new and used Electronics for sale in Tanzania, find your perfect match at unbeatable price in Tanzania. Shop now!
There was problem loading your listings, please try to refresh this page
Refresh
Absaid yusuf
9 months
QURAN PEN
TZS 100,000
QURAN PEN
Dar es Salaam
Sifa za Kalamu ya Qur'an: Kusoma kwa Sauti: Kalamu hii ina uwezo wa kusoma Qur'an kwa sauti, ikiwa ni pamoja na usomaji wa taratibu wa aya kwa aya au sura nzima. Maelezo na Tafsiri: Inatoa tafsiri ya Qur'an kwa lugha mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Kiswahili, ambayo husaidia kuelewa maana ya aya. Mikanda ya Masheikh Maarufu: Inajumuisha usomaji wa masheikh ma...
TZS 100,000
Absaid yusuf
1 year
QURAN BLUETOOTH SPEAKER
TZS 80,000
QURAN BLUETOOTH SPEAKER
Dar es Salaam
HII NI SPEAKER AMBAYO INATUMIA REMOTE INAUWEZO WA KUSOMA QURAN,VISOMO VYA RUQYA NA INABADILIKA RANGI USIKU UNAPOGUSA KWENYE SPEAKER YENYEWE.. UNAWEZA KUFAIDIKA SANA NAYO NA VILE VILE UKAITUMIA KAZINI AU NYUMBANI KUSIKIZA QURAN BILA TATIZO LOLOTE . UTAIPATA SASA KWA NZURI TU PEKEE 80000TSH
TZS 80,000
Absaid yusuf
1 year
DIGITAL QURAN PEN
TZS 80,000
DIGITAL QURAN PEN
Dar es Salaam
JIPATIE MSAHAFU HUU WA KALAMU UNAOWEZA KUKUSAIDIA WEWE NA WATOTO NYUMBANI KWAKO KUJUA NA KUSOMA QURAN BILA MATATIZO YOYOTE. UNAPOGUSISHA KALAMU INAUWEZO WA KUSOMA AYA BAADA AYA ,HERUFI NA HERUFI VILEVILE KUTAFSIRI KWA LUGHA ZISIZOPUNGUA 15. UNAWEZA KUJIFUNZA DUA PIA KUPITIA KALAMU HII NA INAPATIKANA SASA KWA BEI NZURI HAKIKISHA UNAYO MOJA NYUMBANI KWAKO. NDA...
TZS 80,000