NYUMBA INAUZWA BUSWELU WILAYANI -ina vyumba vinne vya kulala ( viwili ni masterbed room ), sebule, jiko, stoo, dinning na public toilet -Pia kuna servant quater ya chumba kimoja self contained, sebule na jiko -ukubwa wa kiwanja ni 640 Sqm -kiwanja kimepimwa tayari -bei Milioni 170