14 Products For Sale in 2160660
Explore products for sale in 2160660. Find great deals on electronics, furniture, vehicles & more from verified sellers on Zoom Tanzania.
There was problem loading your listings, please try to refresh this page
Refresh
Excela Joshua
5 months
NYUMBA INAUZWA NA BANK VIGWAZA
TZS 10,000,000
NYUMBA INAUZWA NA BANK VIGWAZA
Pwani
NYUMBA INAUZWA NA BANK VINGWAZA, IKO UMBALI WA MITA 700 TOKA MOROGORO ROAD (MAIN ROAD) LOC : MBEZI MSAKUZI KWA LUBABA UKUBWA : SQMT 400 PRICE : MIL 10. UMILIKI : MKATABA WA SERIKALI YA MTAA. SIFA:- -3 BEARD ROOM 1 SELF - SITTING ROOM - DINING ROOM - JIKO / STORE - PUBLIC TOILET -MASHIMO YA CHOO YAMESHAJENGWA CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda ...
TZS 10,000,000
Excela Joshua
8 months
SHAMBA LINAUZWA MBWEWE WILAYA YA CHALINZE
TZS 200,000,000
SHAMBA LINAUZWA MBWEWE WILAYA YA CHALINZE
Pwani
SHAMBA LIMEKAMATA BARABARA KUU LINAUZWA MBWEWE KIJIJI CHA KWANG'ANDU WILAYA YA CHALINZE LOCATION:MBWEWE, WILAYA YA CHALINZE UKUBWA NI EKA 100 BEI: MILIONI 200 KWA SHAMBA LOTE UMILIKI WAKE MKATABA WA SERIKALI YA KIJIJI GARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SHILINGI ELFU 50, HII HAIHUSISHI USAFIRI CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja b...
TZS 200,000,000
Ivan Minja
8 months
george njau
10 months
Lilian Clement
1 year
Shamba la ekari 10
TZS 30,000,000
Shamba la ekari 10
Pwani
*Shamba la Ekari 10 linauzwa Chalinze mjini*(CHANG'OMBE STREET) *Distance* Shamba liko Kilometer 1 tu kutoka Barabara ya lami ya Morogoro road -Ndani ya shamba kuna miembe na michungwa na nyumba ya wafanyakazi -Shamba linafaa kwa kilimo cha mahindi mihogo na kadhalika -Document; Hati ya mauziano ya selikali za mitaa ( Shamba limepimwa Hati miliki itatoka kwa...
TZS 30,000,000
Rahimu
1 year
Shamba linauzwa
TZS 700,000
Shamba linauzwa
Pwani
Nauza shamba eka 150 kiwangwa lipo umbali wa kilometa 6 kutoka barabara kuu ya lami bei kwakila eka moja ni laki 7 maongezi yapo kwa mawasiliano zaidi piga no..0659628665/=
TZS 700,000
Rahimu
1 year
Rahimu
1 year
Shamba la eka 300 linauzwa Mbwewe
TZS 250,000
Shamba la eka 300 linauzwa Mbwewe
Pwani
Nauza shamba la eka 300 Mbwewe Shamba la eka 300 linauzwa kwakila eka 1 laki 250,000/= shamba linaumbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami Shamba hili lipo kata ya Mbwewe kijiji cha Kwang'andu wilaya ya bagamoyo Kwa mawasiliano zaidi piga no.. 0659628665/= + 0625929692/=
TZS 250,000
Rahimu
1 year
Shamba la eka 350 linauzwa Msata
TZS 250,000
Shamba la eka 350 linauzwa Msata
Pwani
Nauza shamba la eka 350 shamba hili linapatikana kata ya Msata kijiji cha Mkoko linafaa kwa kilimo ufugaji na makazi linaumbali wa kilometa 11 Gar inafika mpaka shamba bei kwa kila eka moja inauzwa 250,000/= kwa mawasiliano piga no..0659628665/=
TZS 250,000
Rahimu Gassa
1 year
Rahimu
1 year
Shamba la Mtoni linauzwa
TZS 500,000
Shamba la Mtoni linauzwa
Pwani
Nauza shamba la umwagiliaji shamba hili linaukubwa wa ekali 50 kila ekali moja inauzwa 1.M shamba linaumbali wa kilometa 14 kutoka barabara kuu ya lami shamba linapatikana Kiwangwa Bagamoyo.cm no.0659628665/=
TZS 500,000
Rahimu
1 year
Johanes Kimboy
2 years
Guest house for sale
Check with seller
Guest house for sale
Pwani
It's located at Msata town in Chalinze District.it is about 400m from the main road to Arusha. Area is 972m2. The house has 7 rooms self contained each. Water and electricity is available . The price is negotiable, potential customers call 0621859196 or 0763951143 at any time.
Check with seller
Johanes Kimboy
2 years
Guest house on sale
Check with seller
Guest house on sale
Pwani
Nyumba ipo msata ,wilaya ya Chalinze,mita 400kutoka barabara kubwa iendayo mikoa ya kaskazini Arusha na Tanga. Maji na umeme siyo tatizo. Ukubwa wa eneo ni mita za mraba 972. Bei inapungua. Kwa mawasiliano 0621859196 au 0763951143
Check with seller