NYUMBA INAUZWA,MKOA WA PWANI-MAILI MOJA, ENEO LA MKOANI.(OFISI YA MKUU WA MKOA)
IPO KARIBU NA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII,(HOSPITALI YA WILAYA, YA MKOANI, BENKI ZOTE NA USAFIRI MWENDOKASI UMEFIKA MAILI MOJA
LINAFAA KWA KUFUNGUA OFISI ZA MICROFINANCES, LODGE, DISPENSARY, NGOS. AU NYUMBA ZA KUPANGA NK
KARIBUNI WOTE HATA DALALI UNARUSIWA.
BEI NI MILIONI 170 MAELEWANO YAPO PIA.