Hello,Nyumba inauzwa,Milion 95,unaweza uza maji kisima chakwako binafsi, kuna fremu ya duka unaweza Jiajiri,nyumba yenye vyumba 3 vyakulala self kila kitu ndani,sebule kubwa, dinning, jiko, nyumba ya mlinzi, choo cha nje safi lkn kiko ndani ya geti,fremu ya duka, na ukuta pamoja na geti, kisima inajitemea kiko ndani na tanki limejengewa mnara,umeme tayari upo,miti ya matunda kila kitu
Ndani ya geti. Nyumba iko sehemu inaitwa kitangwi Vikindu,Pwani. Wewe tu kuhamia na mabegi yako
Na unaweza uza maji
Mana kisima ni chakwako binafsi.
Karibuni sana
WhatsApp +255 718 549 440
Kupiga +255 719 416 800
Email
[email protected]