Grace  Jonsson
Grace Jonsson
4 active listings
Last online 1 day ago
Registered for 1+ days
Box 394, +255, Lushoto, Lushoto, Tanga, Tanzania
Whatsap +25571854xxxx
Send message All seller items (4)
About seller
M

Grace Jonsson's listings

Muheza
Shamba hekari 5 ngomeni kamba Tanga
Shamba linauzwa lipo ngomeni kamba Tanga ni hekari 5 unaweza kata viwanja ukauza na wapimaji wameshafika ni wewe tu,shambani gari Inafika,lina nyumba yakuishi wafanyakazi ya vyumba 3 vyakulala ya bati, mazao kuna miembe, nazi, Michungwa, chenza, mihogo, mbaazi, nanasi, viazi vituamu Na katani. Mawasiliano WhatsApp +255 718 549 440 Simu kupiga +255 719 416 80...
TZS 33,000,000
1 day ago Land 14 people viewed
TZS 33,000,000
TZS 33,000,000
Tanga
Shamba hekari 4.5 Pongwe Tanga,
Shamba linauzwa lipo pongwe ni hekari 4.5 unaweza kata viwanja ukauza na wapimaji wameshafika ni wewe tu,shambani gari Inafika,lina nyumba yakuishi wafanyakazi ya vyumba 3 vyakulala ya bati, mazao kuna miembe, nazi, Michungwa, chenza, mihogo, mbaazi, nanasi, viazi vituamu Na katani. Mawasiliano WhatsApp +255 718 549 440 Simu kupiga +255 719 416 800 Email upe...
TZS 30,000,000
1 day ago Land 8 people viewed
TZS 30,000,000
TZS 30,000,000
Vikindu
Nyumba self yote,Kitangwi Vikindu frem ya duka na ukuta
Hello,Nyumba inauzwa,Milion 95,unaweza uza maji kisima chakwako binafsi, kuna fremu ya duka unaweza Jiajiri,nyumba yenye vyumba 3 vyakulala self kila kitu ndani,sebule kubwa, dinning, jiko, nyumba ya mlinzi, choo cha nje safi lkn kiko ndani ya geti,fremu ya duka, na ukuta pamoja na geti, kisima inajitemea kiko ndani na tanki limejengewa mnara,umeme tayari up...
TZS 95,000,000
1 day ago Houses - Apartments for Sale 10 people viewed
TZS 95,000,000
TZS 95,000,000
Makuyuni
Guest house inauzwa iko momboTanga
Guest house inauzwa, INA HATI MILIKI YA WIZARA YA ARDHI. Ni nyumba 2 ndani ya fensi moja, nyumba ya kwanza ukiingia getini upande wa kulia ni self kila kitu ndani,ina bedroom 2, tv room, na fremu ya Duka, nyumba kubwa ndani ya geti mkono wa kushoto ni self kila ndani vyumba 7, chumba au kaunta ya vinywaji,sebule kubwa yakwekea wateja tv! Nyumba inauzuwa mill...
TZS 175,000,000
1 day ago Houses - Apartments for Sale 8 people viewed
TZS 175,000,000
TZS 175,000,000
  • 1
Are you a professional seller? Create an account