Nauza Plots(Kibaha/Visiga-Madafu) ziko Mbilil,zimeungana kilometa 5 kutoka lami(Kituo cha Madafu).
zimepakana na kiwanda cha Kuzalisha Mayai.
Umeme na Maji vyote vimefika.
Panafikika kiurahisi kabisa(Lami-sehemu kubwa)
Jumla ya square meter 1388.
Zina Hati Miliki ya Wizara.
Bei; 10,900,000.(Mazungumzo yapo)
Phone: 0713794962
Hakuna Dalali, Mimi ndo Mmiliki.