Kibaha
Nauza Plots(visiga-madafu)
Nauza Plots(Kibaha/Visiga-Madafu) ziko Mbilil,zimeungana kilometa 5 kutoka lami(Kituo cha Madafu). zimepakana na kiwanda cha Kuzalisha Mayai. Umeme na Maji vyote vimefika. Panafikika kiurahisi kabisa(Lami-sehemu kubwa) Jumla ya square meter 1388. Zina Hati Miliki ya Wizara. Bei; 10,900,000.(Mazungumzo yapo) Phone: 0713794962 Hakuna Dalali, Mimi ndo Mmiliki.
TZS 10,900,000