Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
Shamba linauzwa lipo bagamoyo kiwangwa zipo ekari 300 Bei ni laki sita kwa ekari moja maongezi yapo Shamba ni zuri ..mazao Kama nanaso,mahindi ,mihongo n.k yanastawi vizuri kabisa shamba lipo kilometer tano kutoka barabara ya rami
eneo linauzwa Kerege Bagamoyo, lina ukuwa wa mita za mraba 5000, linafikika kwa gari, lina maji na umeme. eneo lina banda la kuishi la vyumba viwili na mabanda mawili ya mifugo. Mawasiliano 0747144763
SHAMBA LA EKARI 3 LINAUZWA MWAVI FUKAYOSI Lipo umbali wa kilometa 1 kutoka main load ya bagamoyo msata kila ekari 1 inauzwa shilingi milioni 2 na nusu shamba ni zuri sana unaweza ukapanda mazao yoyote yale kama vile nanasi, miembe ,migomba,korosho,nazi,papai,mahindi,nk
TZS 7,500,000
2 months agoShops for Rent - SaleNewSell74 people viewed
SHAMBA LA KULIMA NANASI NK LA EKARI 3 LINAUZWA MWAVI FUKAYOSI lipo umbali wa kilometa 2.na nusu kutoka main load ya bagamoyo msata kila ekali moja inauzwa shilingi milioni 4 shamba ni zuri sana lipo njiani kabisa
Shamba la ekari 4 linauzwa mwavi fukayosi lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata zote kwa pamoja zinauzwa shiligi 20 Milioni shamba lipo barabarani kabisa unaweza kupanda mazao kama Nanasi ,Migomba, Papai ,Minazi ,Korosho ,Ndimu ,Maembe, Machungwa nk
Shamba la Ekari 15 linauzwa lipo fukayosi bagamoyo kila ekali moja inauzwa shilingi milioni 1.5 lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata
TZS 22,500,000
2 months agoShops for Rent - SaleNewRent82 people viewed
*JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA KIEMBENI-MAPINGA-BAGAMOYO JIRANI NA CHUO CHA KIMATAIFA CHA KIJESHI, UKUBWA WA ENEO SQM 1238, VYUMBA 4,VITATU MASTER,SEATING ROOM, DINNING, LIBRARY, PUBLIC TOILET,KISIMA CHA MAJI YA KU DRILL,MAJI YA DAWASCO NA UMEME VIPO, NYUMBA NDANI YA FENSI,UPEPO WA BAHARI UNAUSIKIA, BEI MILIONI 170 MAONGEZI YAPO.*
TZS 170,000,000
5 months agoHouses - Apartments for SaleNew308 people viewed
lipo kijiji cha msinune lipo jirani na mji maji yanapatikana kwa karibu shamba limepandwa nusu nanasi na mihogo kila ekari 1 inauzwa shilingi milioni 2