Real Estate For Sale in Pwani find different Real Estate available for you in Pwani, check here to find wide selection of quality Real Estate for sale in Pwani Tanzania.
Viwanja vipo km 8 kutoka barabara ya morogoro. Bei inaanzisa sh 5000 kwa sqm moja Unaweza lipa kwa awamu, karibuni sana. Ukubwa unaanzia sqm 400 nakuendelea
Kiwanja cha biashara kinauzwa mlandizi karibu na kituo cha police mlandizi kiwanja kina ukuwa wa sqqm 4890 kina faa kwa kujengwa petro station au godown kiwanja kipo barabarani kabisa. bei ni milion 250 maongezi yapo
Ipo Mtaa wa Kwambiki, Wilaya ya Mkuranga Barabara inayoelekea kisemvule, Karibu na Shule ya msingi Kibamba Eneo lipo jirani na barabara na linapitika kwa urahisi
UREFU = Futi 60 UPANA = Futi 40 Kiwanja kipo kwenye maeneo ambayo yamerasimishwa na kwakupimwa Kipo eneo tambarare ambapo panapitika kwa urahisi, jirani na Serikali za mtaa
lipo kijiji cha msinune lipo jirani na mji maji yanapatikana kwa karibu shamba limepandwa nusu nanasi na mihogo kila ekari 1 inauzwa shilingi milioni 2
NYUMBA INAUZWA,MKOA WA PWANI-MAILI MOJA, ENEO LA MKOANI.(OFISI YA MKUU WA MKOA) IPO KARIBU NA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII,(HOSPITALI YA WILAYA, YA MKOANI, BENKI ZOTE NA USAFIRI MWENDOKASI UMEFIKA MAILI MOJA LINAFAA KWA KUFUNGUA OFISI ZA MICROFINANCES, LODGE, DISPENSARY, NGOS. AU NYUMBA ZA KUPANGA NK KARIBUNI WOTE HATA DALALI UNARUSIWA. BEI NI MILIONI 170 MAELEWAN...
TZS 170,000,000
1 year agoHouses & Apartments for SaleUsedSell697 people viewed
A plot of land is available for sale in Mkuranga, Dundani kwa Kibugulu it is about 600 M from main road, is suitable for residential house, small scale business, Warehouse etc.
#0753288167 Ardhi inapanda thamani kila siku.Shamba linauzwa Mil 5 kwa ekari 1. Jumla zipo ekari 7. Ukichukua zaidi ya 1 kuna punguzo! Eneo: Fukayosi, Bagamoyo! Mita 800 toka Barabara ya lami! Una ndoto ya kufuga/ kulima! Eneo linakufaa sana. Karibu! Follow @kirikarealestate_agent Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0763531088/ Whatsapp #viwanja #fukayosi #plotfor...