SOAP & GLORY BODY BUTTER AVAILABLE The best thing kuhusu hizi body butters Zina absorb haraka kwenye ngozi, there is nothing like a greasy feeling ukitumia hizi, harufu yake sasa nzuri saana Ziko formulated kwaajili ya ngozi kavu sana, kama una ile super super dry skin hizi body butters ziko heavy zinashika kwene ngozi vizuril mno na kwa mda mrefu! Very ...
SOAP & GLORY FLAKE AWAY BODY SCRUB AVAILABLE Kama umewahi kutumia body wash zake or lotion unajua what to expect hapa! One of the best body scrubs in the market, zinanukia kuliko maelezo! Hii scrub ni nzuri Amazing scent Good Texture Zina exfoliate, zinaondoa dead skin cells Ukimaliza kujiscrub unapata a very soft feeling na ngozi haibaki kavu. PRICE: 55...
Oil nzuri sana kwa ajili ya kuondoa madoa, stretch mark na makovu, Inaondoa weusi katikati ya mapaja, mgongoni, tumboni na weusi shingoni Inasaidia kuondoa stretch marks Inafanya ngozi iwe soft and smooth *Inaondoa madoa na makovu mwilini Inalainisha ngozi ya mwili vizuri moo! Uneven skin Tone Inaipa ngozi mng'ao mzuri Unaweza kumix kwenye body lotion/ body ...
Njoo ujipatie vyetezo vizuri vya mkaa na umeme kwa bei nafuu na vyenye ubora wahi sasa Tunapatikana Tandika mtaa wa chihota karibu na CRDB Bank au piga simu namba 0655426060
Check with seller
2 years agoHealth & BeautyNewSell728 people viewed
Hii ni cream isiyochubua hata kidogo inafaa kwa wanaume na wanawake inaondoa weusi uliotokana na jua pia inafanya ngozi yako kuwa nyororo na muonekano mzuri,kwa wale pia ambao walitumia mikorogo na ngozi ikaharibika hii ndio solution ya tatzo lako
TZS 12,000
2 years agoHealth & BeautyNewSell770 people viewed