NYUMBA IPO SOKONI KALI HATARI NA BEI MSEREREKO. VYUMBA VINNE VYA KULALA VIWILI MASTER,JIKO,DINNING, SEBULE,STORE. CEILING FAN NYUMBA NZIMA. PEMBENI KUNA SERVANT QUARTER YA CHUMBA MASTER. UKUBWA WA ENEO SQUARE METRE 650. IPO KILUVYA. UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5. DOCUMENT HATI YA MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA. BEI YAKE NI 85M TU. MAONGEZI YAPO. CHANGA...
VIWANJA HIVYO VIMEBAKI 8 TU KWA SASA, VIWANJA VIZURI NA TAMBARARE, VIMEPIMWA NA VINAGUSA SERVICE ROAD YA MOROGORO ROAD, CHANGAMKENI. KILA KIWANJA KINA SQUARE METRE 450. KILUVYA . BEI ZAKE NI 25M KILA KIMOJA. CHANGAMKENI.
-NYUMBA INAUZWA KIMARA KOROGWE DSM - IKO KM 1 TOKA BARABARA KUU YA MORO ROAD - ENEO LINA UKUBWA WA HEKARI MOJA - NDANI YA ENEO KUNA NYUMBA 7 NA ZOTE ZINA WAPANGAJI. - ENEO LIMERASIMISHWA NA PANA MAWE TAYARI. - BEI YAKE NI 600M - KUPELEKWA NI 30,000
TZS 600,000,000
11 months agoHouses & Apartments for SaleUsedBuy415 people viewed
Kiwanja cha biashara kinauzwa mlandizi karibu na kituo cha police mlandizi kiwanja kina ukuwa wa sqqm 4890 kina faa kwa kujengwa petro station au godown kiwanja kipo barabarani kabisa. bei ni milion 250 maongezi yapo
VIWANJA SITA VINAUZWA VIPO SEHEMU MOJA. LOCATION: TEGETA, WAZO KARIBIA NA KITENGULE HOSPITA AREA: 8,860SQM KWA VYOTE(EKALI MBILI NA ROBO) BEI: 500,000,000/= MAZUNGUMZO: YAPO ENEO LINAFAA KWA KIWANDA AU YARD YA MALORY NA SHULE ENEO LIPO MITA 200 KUTOKA BARABARA YA WAZO(NJIA PANDA KIBAONI) NA MITA 80 BAGAMOYO ROAD ENEO LIKEPIMWA NA MICHORO YAKE IPO DOCUMENT ZI...
Nyumba stand alone inapangishwa Mbweni karibu na Nyaishozi college. Ina vyumba viwili master bedroom (self-contained). Ina sebule, jiko kubwa na stoo. Ina public toilet moja. Maji na luku inajitegemea. Kodi ni laki 400,000 kwa mwezi (negotiable). Malipo ya miezi 6. Nyumba ni mpya kabisa. Car parking space ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0758906593.
TZS 400,000
11 months agoHouses & Apartments for RentNewRent311 people viewed