VIWANJA HIVYO VIMEBAKI 8 TU KWA SASA, VIWANJA VIZURI NA TAMBARARE, VIMEPIMWA NA VINAGUSA SERVICE ROAD YA MOROGORO ROAD, CHANGAMKENI. KILA KIWANJA KINA SQUARE METRE 450. KILUVYA . BEI ZAKE NI 25M KILA KIMOJA. CHANGAMKENI.
Kiwanja cha biashara kinauzwa mlandizi karibu na kituo cha police mlandizi kiwanja kina ukuwa wa sqqm 4890 kina faa kwa kujengwa petro station au godown kiwanja kipo barabarani kabisa. bei ni milion 250 maongezi yapo
VIWANJA SITA VINAUZWA VIPO SEHEMU MOJA. LOCATION: TEGETA, WAZO KARIBIA NA KITENGULE HOSPITA AREA: 8,860SQM KWA VYOTE(EKALI MBILI NA ROBO) BEI: 500,000,000/= MAZUNGUMZO: YAPO ENEO LINAFAA KWA KIWANDA AU YARD YA MALORY NA SHULE ENEO LIPO MITA 200 KUTOKA BARABARA YA WAZO(NJIA PANDA KIBAONI) NA MITA 80 BAGAMOYO ROAD ENEO LIKEPIMWA NA MICHORO YAKE IPO DOCUMENT ZI...
Nyumba stand alone inapangishwa Mbweni karibu na Nyaishozi college. Ina vyumba viwili master bedroom (self-contained). Ina sebule, jiko kubwa na stoo. Ina public toilet moja. Maji na luku inajitegemea. Kodi ni laki 400,000 kwa mwezi (negotiable). Malipo ya miezi 6. Nyumba ni mpya kabisa. Car parking space ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0758906593.
TZS 400,000
1 year agoHouses & Apartments for RentNewRent328 people viewed
Ipo Mtaa wa Kwambiki, Wilaya ya Mkuranga Barabara inayoelekea kisemvule, Karibu na Shule ya msingi Kibamba Eneo lipo jirani na barabara na linapitika kwa urahisi