Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
Chakula bora kwa ajili ya mbwa mwenye matatizo ya kuwashwa ngozi kwa kitaalamu tunaita Food Allergic Dermatitis, pia mbwa mwenye changamoto ya viungo yaani Arthritis anapaswa atumie chakula hiki. Siwezi kutaja kila kitu hapa lakini chakula hiki ni tiba ya magonjwa mengi kwa mbwa.
Poultry Feed Specialists ni wataalamu wa mifugo hususani kuku, tunatoa elimu na mafunzo mbalimbali yanayohusu ufugaji wa kuku. Sambamba na hilo tunauza formula za kutengeneza vyakula vya kuku vyenye ubora unaozingatia uchumi. Na cha mwisho tunatoa huduma za kidakitari kwa mifugo yako. Bei ya Formula ipo kwenye punguzo la asilimia 50% kwa sasa. Wahi mapema ka...
TZS 50,000
5 months agoOther ServicesNewSell148 people viewed
Tunatengeneza (repair) vifaa vyote vya umeme kama washing machines, tv, subwoofer, driers, fridges, radios, home theaters, radios, sound bars, air conditioners, micro waves, dishwashers etc. check up fee 40,000/- gharama za matengenezo zitategemeana na tatizo na gharama za spare endapo zitahitajika. huduma zetu ni bora sana. ukituletea kifaa chako ni lazima ...
Mashine ya kuchanganya chakula cha kuku ipo katika hali nzuri sana, Bei ni Tsh 6,000,000/- tu. Ina uwezo wa kuzalisha chakula cha kuku nusu tani kwa saa. Na utapata kila kitu na motor pia. Karibu sana mteja.
Battery Cages za kuwekea kuku, na zimebaki unit tatu (3) tu. Unit moja ina vyumba 48, na kila chumba kinaweza kikaweka kuku watatu mpaka wa nne. Battery cages hizo zina system ya maji na chakula. Battery Cages hizo ni za Israel. Bei ni 850,000/- kwa unit moja yenye vyumba 48, ambavyo kila chumba kinachukua kuku watatu mpaka kuku wanne.