Lithovit Standard ni mbolea ya unga inayochanganywa na maji Kisha kupuliziwa kwenye zao lolote Kwa ajili ya Kukuzia (Busta), kutoa Maua mengi na kuzuia yasidondoke,Kung'arisha matunda,kuzuia matunda yasioze na kusaidia udongo ambao hauna madini ya kalsiamu