Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
Perfect combo???????????? Hii ni combo pambe kabisa ????, inakuwa bangle na hereni zake , zote hizi ni stainless steel haipauki, pia unaweza peleka kam zawadi kwa rafiki wa kike , mama, dada, auntie. Jumla 15000/= kuanzia pc 3 Rejareja 18,000/= Tunapatikana Dar es salaam mbezi mwisho Delivery tunafanya Dar na mikoani tunatuma Kwa uaminifu Call/WhatsApp #0746...
Nani kasema lazima uwe na milioni kuonekana classy? Our affordable Bangles ni glam bila stress! haibadiliki rangi, na inakupa elegance ya kipekee. Shine ???? like you own the moment — kutoka Rebby Luxurious Jewelry. Hurry, stock ni chache sana!! Tsh. 12,000/= Tu Click to order now ???? ????Call/WhatsApp 0746068337 ???? Tunapatikana Dar es salaam mbezi mwisho...
La mtu mmoja ni sh 150,000 La watu wawili ni sh 250,000 La watu watatu ni sh 300,000 Ukitaka la wawili na la mmoja ni sh 300,000 Ukitaka la watatu na la mmoja ni sh 360,000 Ukitaka la watatu na wawili ni sh 400,000 Yote seti nzima ni 550,000