VIPIPI ni dawa Bora na mujarrabu sana kwa mwanamke hanaekos hamu ya tendo tendo la ndoa ,pia hinaongeza joto ukeni ,kuufanya uke kuwa mnato na Kuongeza msisimjo na hisia kali ya tendo la ndoa na kutibu kifua cha muda mrefu
YABONGO ni dawa ya Kurejesha hamua ya tendo la ndoa kwa mwanamke kama vile 1)Inakupa hisia ya kufanyiwa tendo la ndoa 2)Hukausha majimaji ukeni na kuwa mnato 3)Inaondoa majimaji machafu na harufu mbaya ukeni 4)Inaondoa Maumivu makali pale hunapofanyiwa tendo la ndoa 5)Husafisha mirija ya uzazi na hurekebisha sehemu ya uzazi
Saratani ya matiti ni mabadiliko ya chembechembe hai zilizopo kwenye matiti Saratani hii kwa kawaida haina dalili katika hatua za kwanza hivyo unashauriwa kufanya uchunguzi wa Saratani mara kwa mara
Presha(Shinikizo la Damu) ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Aina za Presha. Zipo aina kuu mbili za presha, yaani; (I) PRESHA YA KUPANDA (II) PRESHA YA KUSHUKA. PRESHA YA KUPANDA. Presha ya kupanda ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya da...
Forever ARGI+ – Kirutubisho cha Nguvu na Afya Forever ARGI+ ni kirutubisho chenye L-Arginine, kinachoboresha mzunguko wa damu, kuongeza nishati, na kusaidia afya ya moyo na uzazi. Faida ✔ Afya ya moyo – Hupanua mishipa ya damu na kupunguza shinikizo la damu. ✔ Nguvu na stamina – Huongeza nishati na kusaidia mwili kupata nafuu haraka. ✔ Afya ya uzazi – Hubore...
Chanzo cha tatizo hili huanzia kwenye figo.figo huenda zikawa zinatengeneza mkojo mwingi zaidi ya kiwango kinachoitajika.homoni ADH huambia figo kutengeneza mkojo mchache kiwango cha kawaida na Mara nyingi homoni hiyo hupungua nyakati za usiku.wakati unapotokwa na mkojo kitandani huenda homoni za ADH zimepungua ama figo hazifanyi kazi kama inavyostaili Kiwan...
Forever Multi-Maca – Nguvu Asili kwa Afya na Utendaji Bora Forever Multi-Maca ni kirutubisho cha asili kinachotokana na mizizi ya maca, maarufu kwa kuongeza nguvu za mwili, kuboresha afya ya uzazi, na kuimarisha stamina kwa wanaume na wanawake. Faida za Forever Multi-Maca ✔ Huongeza nguvu na stamina – Inasaidia mwili kuwa na nguvu na kupunguza uchovu. ✔ Huim...