???? INAUZWA: PIKIPIKI USED ????
Aina: Boxer X Domo la Mamba
CC: 125
Hali: Imetumika lakini iko katika hali nzuri sana
Bei: TZS 1,600,000 (Milioni Moja na Laki sita)
???? Tayari kwa matumizi, inawaka vizuri, haijawahi pata ajali.
???? Imehifadhiwa vizuri na iko tayari kuingia barabarani.
???? Wasiliana nami kwa maelezo zaidi au kuona pikipiki:
???? [0611200803]
Usikose hii ofa – pikipiki imara kwa bei nafuu! ????????
Read more