Apartment for rent at kibanda cha mkaa Mbezi

TZS 500,000
Nyumba za Kupanga
Saturday 18:01
New
Exchange Allowed
Tanzania
Dar es Salaam
Ubungo
Mbezi
13 views
SKU: 9471
Published 7 hours ago by Judi Edward
TZS 500,000
In Nyumba za Kupanga category
New
Exchange Allowed
Mbezi, Ubungo, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
13 item views
Nyumba MPYA ya kupanga, ipo mbezi kibanda cha mkaa, dakika 5 kwa miguu kufika kituo cha mwendokasi. Inavyumba viwili kimoja masta, sebule kubwa, dining, jiko, stoo, choo cha public, feni za juu, maji yanatoka ndani mda wote, mita ya umeme na maji inajitegemea, ziko mbili ndani ya get. Kodi ni laki 5 kwa mwezi, kodi ya miezi 6. Ukihitaji piga 0789928142 Read more

Specs

Property Size Sq Ft 400
Bedrooms 2-Bedrooms
Bathroom 2-Bathrooms
Amenities all amenities available in place

Description

Nyumba MPYA ya kupanga, ipo mbezi kibanda cha mkaa, dakika 5 kwa miguu kufika kituo cha mwendokasi. Inavyumba viwili kimoja masta, sebule kubwa, dining, jiko, stoo, choo cha public, feni za juu, maji yanatoka ndani mda wote, mita ya umeme na maji inajitegemea, ziko mbili ndani ya get. Kodi ni laki 5 kwa mwezi, kodi ya miezi 6. Ukihitaji piga 0789928142

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account