JENGO LINAUZWA BUSWELU -lina jumla ya vyumba 19 vyote ni self contained -ukubwa wa eneo ni 70x70 =4,900 Sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Tsh Milioni 900 -punguzo lipo ???? 0743220097
2 Master Bedrooms with attached bathroom and Toilet 1 Common Bathroom & Toilet Balconys with sea view Elevator,Parking,Generator,Swimming Pool & Gym Higher Floor Laundry Area & Store Room
NYUMBA YA KIZAMANI INAUZWA KIRUMBA -ina fremu tatu za biashara na nyumba za wapangaji -ukubwa wa kiwanja ni 33x15=495 Sqm -ina hati miliki ya wizara ☎️ 0743220097
NYUMBA INAUZWA BUSWELU WILAYANI -ina vyumba vinne vya kulala ( viwili ni masterbed room ), sebule, jiko, stoo, dinning na public toilet -Pia kuna servant quater ya chumba kimoja self contained, sebule na jiko -ukubwa wa kiwanja ni 640 Sqm -kiwanja kimepimwa tayari -bei Milioni 170
Nyumba inauzwa pasiasi mtaa lumala -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni 25x20 =500 sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 55