House for Sale - Kinyerezi Kibaga - Rooms: 3 bedrooms (1 master + 2 standard), living room, dining area, modern kitchen with cabinets, storage room. - Extras: Boycotta, outdoor toilet, full A/C, ceiling fans, well, water tank, electric fence, remote-controlled gate. - Location: 3 minutes from the bus stop. - Plot Size: 500 sqm, large parking area with paving...
Nyumba inauzwa njiro tanesko ina bedrooms tatu sebule dining jiko chumba kimòja ni master inauzwa na kila kitu ndani ikiwepo masofa vitanda Meza TV Kwa maelezo zaidi piga simu
Nyumba inauzwa pasiasi mtaa lumala -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni 25x20 =500 sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 55
HOSTEL INAUZWA MALIMBE CHUONI ( SAUT ) -ina vyumba 32 vya kulala vyote ni self contained -ukubwa wa kiwanja ni 522 SQM -ina hati miliki ya wizara NB:- -vyumba 8 kila kimoja kodi 800,000 kwa mwaka -vyumba 4 kila kimoja kodi Mil 1.2 kwa mwaka -vyumba 20 kila kimoja kodi Mil 1 kwa mwaka
🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – KINYEREZI SHULE | MILIONI 150 TU! 🏡 🔥 Fursa Adimu – Nyumba Mpya Kabisa, Tayari Kukaa! ✅ Vyumba 3 (1 Master na choo chake) ✅ Sebule kubwa yenye nafasi ya starehe ✅ Chumba cha kulia cha kifahari ✅ Jiko la kisasa + choo cha umma ✅ Eneo: 500 sqm – nafasi ya kutosha kwa bustani au maegesho ✅ Umbali: Dakika 5 tu kutoka barabara ya lami...