Houses/Apartments for sale

TZS 170,000,000
Nyumba Zinauzwa
10 months
Tanzania
Dodoma
Dodoma
1115 Dodoma
528 views
SKU: 7986
Published 10 months ago by Emmanuel John Mosha
TZS 170,000,000
In Nyumba Zinauzwa category
1115 Dodoma, Dodoma, Dodoma, Tanzania
Get directions →
528 item views
NYUMBA 4 KWENYE KIWANJA CHA 2600sqm, ZINAUZWA MICHESE DODOMA.

zipo kilomita 8 kutoka mjini. Zipo jirani na reli ya SGR.

Nyumba mbili zilizokamilika Zina muundo wa vyumba viwili vyote master sebule dinning na jiko.

zingine mbili bado zinahitaji finishing. Moja ujenzi umefikia kwenye linta Ina vyumba vitatu vyote master, sebule, dinning na jiko.

Nyingine ni servant quarter Ina chumba master na sebule na chumba master .

Kiwanja kina ukubwa wa 2600sqm (zaidi ya nusu ekari).

Kuna mandhari nzuri mno ya kuvutia: miembe, michungwa, migomba na garden nzuri ya maua.

Maji ni ya uhakika, kisima kirefu na reserve tanks.

Maelezo zaidi na kwenda kuona site.

0769619980. Read more

Specs

Property Size Sq Ft 2600
Bedrooms 4-Bedrooms
Bathroom 2-Bathrooms

Description

NYUMBA 4 KWENYE KIWANJA CHA 2600sqm, ZINAUZWA MICHESE DODOMA.

zipo kilomita 8 kutoka mjini. Zipo jirani na reli ya SGR.

Nyumba mbili zilizokamilika Zina muundo wa vyumba viwili vyote master sebule dinning na jiko.

zingine mbili bado zinahitaji finishing. Moja ujenzi umefikia kwenye linta Ina vyumba vitatu vyote master, sebule, dinning na jiko.

Nyingine ni servant quarter Ina chumba master na sebule na chumba master .

Kiwanja kina ukubwa wa 2600sqm (zaidi ya nusu ekari).

Kuna mandhari nzuri mno ya kuvutia: miembe, michungwa, migomba na garden nzuri ya maua.

Maji ni ya uhakika, kisima kirefu na reserve tanks.

Maelezo zaidi na kwenda kuona site.

0769619980.

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa

Bidhaa Ulizoangalia

Michael Dalali Michael Dalali 6 months
HOUSE FOR SALE MBWENI MALINDI
TZS 450,000,000
HOUSE FOR SALE MBWENI MALINDI
Dar es Salaam
NEW HOUSE FOR SALE ???????????? ~ ???????????? ???????? ???????????????????????????????? ????????????????LI - MBWENI MALINDI ____________________ BEI ~ ???????????? MIL 450 MAONGEZI YAPO ___________________ ????????????MBA MPYA YA ???????????????????????????? ???????????????????? ___________________ UWANJA - SQM 1000 UMILIKI - HATI SAFI YA WIZARA ___________...
Nyumba Zinauzwa Mbweni
TZS 450,000,000
Eze Magari Eze Magari Monday 21:45
TOYOTA COASTER 1HZ
TZS 55,000,000
TOYOTA COASTER 1HZ
Dar es Salaam
📞 CALL / PIGA SIMU: 0653 358 435 🚍 TOYOTA COASTER 1HZ – TSHS MILIONI 55 TU 💬 GUSA LINK Tuchat WhatsApp: 👉 https://wa.me/255695095520 PRICE/BEI TSHS MILION 55 ✅ Engine: 1HZ ✅ Automatic Transmission ✅ Full Seats 🔥 Gari kali sanaa, iko tayari kwa kazi! 📍 Location: Kinondoni, Dar es Salaam Eze Magari
Exchange Allowed Magari Makubwa na Mabasi 10220
TZS 55,000,000
Are you a professional seller? Create an account