Kiwanja kinauzwa bunju shule
Kiwanja kina Sqm 1,418
Kilometer 3 kutoka lami
BEI; Million 60
Hati miliki ipo
Mtaa mzuri, umetulia
Kiwanja ni kizuri kwajili ya makazi
Kiwanja kinauzwa bunju shule
Kiwanja kina Sqm 1,418
Kilometer 3 kutoka lami
BEI; Million 60
Hati miliki ipo
Mtaa mzuri, umetulia
Kiwanja ni kizuri kwajili ya makazi
Nice plots in Kisanga, Kisarawe. 1,500,000/- per plot, Price negotiable Kisanga is 17km from Kisarawe Center The location is 2 poles away from electricity Clean ownership no Ubabaishaji. Contact via whatsup 0785171177, Free transport to site visit.
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 20 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami shamba lipo kiwangwa bagamoyo bei ni laki 8 kwa heka shamba ni zuri sana na lipo sehem nzuri kwa mawasiliano zaidi piga namba 0653870009.
Ninauza viwanja na mashamba dodoma, mji wa serikali mtumba, viwanja vimepimwa na vina hati, mashamba yanapatikana kuanzia hekari moja ila mashamba hayajapimwa.
🌲vinapatikana kibaha Kwa Mathias 🌲Umbali ni km 5.5 kutoka barabarani..na barabara ya kwenda site ni lami 🌲Bei ni kuanzia milion 2 tu kwa ukubwa wa mita 15/15.. 🌴🌴Sehem ni tambarare.. maji, umeme, hospital, shule, nk vyote vipo karibu. 🌲Siku za kwenda site ni Kila siku piga simu au watsap 0612238874/ 0714499979 🌴🏠Karibuni sana
Land for sale, Mashamba yanauzwa zaidi ya ekari 2000. Yanauzwa kunzia ekari 500 Yanapatikana Njombe Mfiriga. Yanafaa kwa kulimo cha parachichi, Nanasi, miti, maharage, mahindi na mazao mengine pia pori zuri kwa ufugaji nyuki.
A 22 acres land for sale at Kidire, King'ori-Arusha. 9km from the junction of Kilimanjaro International Airport (KIA) and Arusha-Moshi road along Liwati Bypass, The land is ideal for farming and other projects such as establishment of a school, hotel etc...The price is 6,000,000 per acre.