Kiwanja kikubwa square meter 2745 kipo Geza kigamboni kina hati na huduma zote muhimu kama maji umeme na miundo mbinu ya barabara ipo tayari vizuri bei ni maelewano.
Land for sale, Mashamba yanauzwa zaidi ya ekari 2000. Yanauzwa kunzia ekari 500 Yanapatikana Njombe Mfiriga. Yanafaa kwa kulimo cha parachichi, Nanasi, miti, maharage, mahindi na mazao mengine pia pori zuri kwa ufugaji nyuki.
VIWANJA VINAUZWA KIBAHA-KWA MFIPA/GALAGAZA "Nunua ardhi sasa-wakiwa bado hawajauona thamani yake," Hivi viwanja vipo KIBAHA-KWA MFIPA/ GALAGAZA,unaweza kujenga nyumba za makazi au matumizi mengine kutokana maitaji yako. Miondombinu yote kama maji,umeme barabara na huduma zote za kijamii zinapatikana 👉 KIBAHA-KWA MFIPA-GALAGAZA Size: 20 x 20...........Bei Mil...
*🟢 SHAMBA LINAUZWA – KIWANGWA, BAGAMOYO 🟢* Fursa ya kumiliki ardhi yako! ✅ Ukubwa: Heka 10 ✅ Umbali: Km 4 kutoka barabara ya lami ✅ Mahali: Kiwangwa – Bagamoyo ✅ Mazingira tulivu, yanafaa kwa kilimo, ufugaji au makazi ✅ Umeme na maji karibu 💰 Bei: TSh 900,000 kwa heka (maelewano yapo) 📞 *Wasiliana na Mr. Chilo – 0714 121 506* *Miliki shamba lako leo – usipit...
Shamba linauzwa lipo mbwewe lenye ukubwa wa hekari 50 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu bei ni million moja na laki 5 kwa hekari moja kwa maelezo zaid pga 0659628665
ENEO ( BEACH PLOT ) INAUZWA NYANGUGE -ukubwa wa eneo ni heka nne (4) -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -umeme, maji na barabara vipoo -bei Milioni 45 + Wasiliana Nasi ☎️ 0743220097