SHAMBA REAL ESTATE FOR SALE IN KIWANGWA

TZS 5,000,000
Viwanja
2 years
Tanzania
Pwani
Bagamoyo
2646 views
SKU: 43
Published 2 years ago by Alphonce Kamisa
TZS 5,000,000
In Viwanja category
Bagamoyo, Pwani, Tanzania
Get directions →
2646 item views
Shamba lipo Kiwangwa eneo linaloitwa Bago katika kijiji cha Msinune. Lina ukubwa wa takriban eka mbili (02) kasoro hivi. Jirani n shamba ipo Shule ya Msingi Msinune. Barabara ya vumbi inafika hadi shambani na gari zinafika kiurahisi.
Umbali kutoka shambani hadi barabara ya lami inayotoka Bagamoyo kuelekea Msata ni kama Kilometa 1 hivi.

Linafaa kwa kilimo cha mananasi, mihogo, mahindi, michungwa, limao na migomba (ndizi).
Bei ya shamba hilo ni shilingi milioni Tano (5,000,000). Gharama za Serikali ya Kijiji ni za mnunuzi (buyer).

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0744 627 333 au 0712 682 475.

KARIBU SANA. Read more

Description

KARIBU SANA.

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account