Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 40 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa hata makazi pia umbali kutoka lami kilometa 4 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 kuona bule asante sana
🏡 KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI KIMBIJI 📐 Ukubwa: 667.3 sqm 💰 Bei: Milioni 6 tu LIPA KWA INSTRUMENT 📍 Umbali kutoka Feri: Km 30 ✅ Barabara inafikika vizuri ✅ Huduma zote za kijamii zinapatikana ✅ Eneo zuri, tambarale na tulivu 📞 PIGA SIMU: 0653 358 435 / 0625 901 623 💬 GUSA LINK UCHAT na Meneja Mradi Anthonia kwenye WhatsApp: 👉 https://wa.me/255625901623 Furs...
Eneo Linauzwa Mbezi karibu na stendi ya magufuli. Eneo linaangalia morogoro Road Sqm 1387 Hati Safi Matumizi ya Hati ni makazi na biashara Bei milion 300000000
Shamba linauzwa lipo mbwewe lenye ukubwa wa hekari 50 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu bei ni million moja na laki 5 kwa hekari moja kwa maelezo zaid pga 0659628665
ENEO LINAUZWA KISESA -ukubwa wa eneo ni heka moja ( 70x70 ) -eneo lipo karibu na barabara ya lami -umeme, maji na barabara vyote vipo site -bei Milioni 25 📞 0743220097
KIWANJA KINAUZWA ILEMELA -ukubwa wa kiwanja ni SQM 1,000 -kina hati miliki ya wizara ( 99 yrs ) -matumizi ya kiwanja ni makazi -kiwanja kina fensi pande tatu -bei Milioni 180 ( maongezi yapo ) ☎️ 0743220097
Looking for strategic land that gives you future returns and business potential? This 600sqm gem sits only 86 meters off the main Bagamoyo Road — a fast-growing commercial corridor in Tanzania! Offering unmatched convenience, visibility, and long-term value. Why Buy Now? With the upcoming BRT project on Bagamoyo Road, this area is set for a surge in property...
KIWANJA CHA KWANZA LAMI KINAUZWA -Mahali - MKONZE -Kiwanja kinatazama IRINGA ROAD -km 10 tu kutoka mjini kati -Kina ukubwa wa 1599 sqm ( ni viwili viwili vimeungana) -document ni HATI Bei - 40 milioni
Nauza Viwanja Dodoma Mjini lyumbu Kaanani, -Nina viwanja vitatu SQM 534, SQM 586 na SQM 406 - Kila kiwanja, Nauza Million 10 Fixed isipokuwa SQM 406 Nakiuza Million 8 - Unaruhusiwa kuunganisha ukavifanya kuwa kiwanja kimoja -Documents Ni Surveyed Form