Viwanja Bei Chee Paje, Zanzibar
Mixed-Use Land
Type
400sqm
Square Metres
Mixed
Property Use
Electric Supply
Facilities
> vipo ukitokea duarani unapita
polisi mbele kidogo mpaka kituo cha gereji
unakata kushoto boda dakika 5
mpaka vilipo au
ukitokea duarani unaelekea
jambiani unakata kulia hoteli ya
whitesands boda dk 5 pia mpaka
vilipo
> ukubwa ni mita 20x20 au futi
65x65 au square meter 400
> vinatosha nyumba na fensi yake
> kilomita 2 tu mpaka baharini
> umeme na majirani wapo
> karibu na huduma za kijamii
> vinafaa kwa makazi au biashara
> ukihitaji kikubwa zaidi unaweza
kuunganisha
> maji ni baridi unachimba mita 10
tu
> wahi vimebaki vichache
> havijapimwa!
> wasiliana nasi kwenda kuviona
muda siku yoyote
simu/sms/whatsapp
Read more