Nyumba ya vyumba viwili (2) vikubwa, Sebule kubwa na jiko na choo. Madirisha safi makubwa na mapya ya Aluminium. Ukubwa wa eneo ni hekari moja kasoro, lipo karibu kabisa na barabara inayoelekea kivuko cha Busisi.
Read more
Specs
Bedrooms2-Bedrooms
Bathroom1-Bathroom
Description
Nyumba ya vyumba viwili (2) vikubwa, Sebule kubwa na jiko na choo. Madirisha safi makubwa na mapya ya Aluminium. Ukubwa wa eneo ni hekari moja kasoro, lipo karibu kabisa na barabara inayoelekea kivuko cha Busisi.
Nyumba inauzwa njiro tanesko ina bedrooms tatu sebule dining jiko chumba kimòja ni master inauzwa na kila kitu ndani ikiwepo masofa vitanda Meza TV Kwa maelezo zaidi piga simu
House for sale pasiansi - lumala -ina vyumba vinne vya kulala ( vitatu ni self contained ), sebule, jiko, dinning na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni Sqm 600 -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 180
SHULE INAUZWA DODOMA MJINI -Mahali - ZUZU MTAA WA PINDA Jirani na RING ROAD Shule ina madarasa manne (4), Ofisi 4, numba na vyumba vitatu na vyoo vyenye matundu 12. Eneo - Square meter 33,260 Pamepimwa na kuna kibali cha shule/taasisi. Bei - Million 230
JENGO LINAUZWA BUSWELU -lina jumla ya vyumba 19 vyote ni self contained -ukubwa wa eneo ni 70x70 =4,900 Sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Tsh Milioni 900 -punguzo lipo ???? 0743220097
Anga Apartments 2 Bedrooms – Own Your Slice of Paradise in Zanzibar Starting from $185,000 – Fully furnished with high-end appliances, VAT included. Step into luxury with the Anga Apartments, where modern elegance meets tropical living. This spacious 2-bedroom apartment at Vela Paje offers everything you need for a serene getaway or a smart investment opport...
.FOR SALE | 3BEDROOM WITH A POOL | ARUSHA TANZANIA LISTING. USA River Momella Rd; Three spacious rooms all ensuites one servant's quarters. Open airy kitchen & pantry, dining and stunning living room. Also swimming pool, an outside lounge area, generator room (with a stand by generator),fire pit, veg garden, and lots of fruit trees plus ample parking. ✓T...