Shamba hekari 5 ngomeni kamba Tanga

TZS 33,000,000
Viwanja
3 months
Tanzania
Tanga
Muheza
Box 394 Lushoto
95 views
SKU: 7925
Published 3 months ago by Grace Jonsson
TZS 33,000,000
In Viwanja category
Box 394 Lushoto, Muheza, Tanga, Tanzania
Get directions →
95 item views
Shamba linauzwa lipo ngomeni kamba Tanga ni hekari 5 unaweza kata viwanja ukauza na wapimaji wameshafika ni wewe tu,shambani gari Inafika,lina nyumba yakuishi wafanyakazi ya vyumba 3 vyakulala ya bati, mazao kuna miembe, nazi, Michungwa, chenza, mihogo, mbaazi, nanasi, viazi vituamu Na katani. Mawasiliano WhatsApp +255 718 549 440 Simu kupiga +255 719 416 800 Email [email protected] Karibuni wote Read more

Description

Shamba linauzwa lipo ngomeni kamba Tanga ni hekari 5 unaweza kata viwanja ukauza na wapimaji wameshafika ni wewe tu,shambani gari Inafika,lina nyumba yakuishi wafanyakazi ya vyumba 3 vyakulala ya bati, mazao kuna miembe, nazi, Michungwa, chenza, mihogo, mbaazi, nanasi, viazi vituamu Na katani. Mawasiliano WhatsApp +255 718 549 440 Simu kupiga +255 719 416 800 Email [email protected] Karibuni wote

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account