VIWANJA BEI CHEE PAJE, ZANZIBAR

TZS 3,500,000
Viwanja
6 months
New
Tanzania
Zanzibar Urban/West
Zanzibar
Paje, Zanzibar
449 views
SKU: 9880
Published 6 months ago by Emmanuel Mkuwa
TZS 3,500,000
In Viwanja category
New
Paje, Zanzibar, Zanzibar, Zanzibar Urban/West, Tanzania
Get directions →
449 item views
Viwanja Bei Chee Paje, Zanzibar
Mixed-Use Land
Type
400sqm
Square Metres
Mixed
Property Use
Electric Supply
Facilities
> vipo ukitokea duarani unapita
polisi mbele kidogo mpaka kituo cha gereji
unakata kushoto boda dakika 5
mpaka vilipo au
ukitokea duarani unaelekea
jambiani unakata kulia hoteli ya
whitesands boda dk 5 pia mpaka
vilipo
> ukubwa ni mita 20x20 au futi
65x65 au square meter 400
> vinatosha nyumba na fensi yake
> kilomita 2 tu mpaka baharini
> umeme na majirani wapo
> karibu na huduma za kijamii
> vinafaa kwa makazi au biashara
> ukihitaji kikubwa zaidi unaweza
kuunganisha
> maji ni baridi unachimba mita 10
tu
> wahi vimebaki vichache
> havijapimwa!
> wasiliana nasi kwenda kuviona
muda siku yoyote
simu/sms/whatsapp Read more

Description

Viwanja Bei Chee Paje, Zanzibar
Mixed-Use Land
Type
400sqm
Square Metres
Mixed
Property Use
Electric Supply
Facilities
> vipo ukitokea duarani unapita
polisi mbele kidogo mpaka kituo cha gereji
unakata kushoto boda dakika 5
mpaka vilipo au
ukitokea duarani unaelekea
jambiani unakata kulia hoteli ya
whitesands boda dk 5 pia mpaka
vilipo
> ukubwa ni mita 20x20 au futi
65x65 au square meter 400
> vinatosha nyumba na fensi yake
> kilomita 2 tu mpaka baharini
> umeme na majirani wapo
> karibu na huduma za kijamii
> vinafaa kwa makazi au biashara
> ukihitaji kikubwa zaidi unaweza
kuunganisha
> maji ni baridi unachimba mita 10
tu
> wahi vimebaki vichache
> havijapimwa!
> wasiliana nasi kwenda kuviona
muda siku yoyote
simu/sms/whatsapp

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa

Bidhaa Ulizoangalia

Wagwanta Sina Wagwanta Sina 3 months
Gari Mwanza Mwanza 3 months
Suzuki carry
TZS 7,500,000
Suzuki carry
Mwanza
Suzuki carry gari nzuri sana aina shida yoyote
Used Gari
TZS 7,500,000
Mrisho Selemani Mrisho Selemani 2 years
SQM 4650 PLOT FOR SALE - MBUTU MKWAJUNI - KIGAMBONI
TZS 70,000,000
SQM 4650 PLOT FOR SALE - MBUTU MKWAJUNI - KIGAMBONI
Dar es Salaam
Viko viwiliUkubwa wa sqm 4650, viko karibu na barabara. Full title deed.. Huduma zote za kijamii zinapatikana, maji & umeme upo. Kumejengeka, unaweza fanya sheli, makazi. Bei Tsh: 70M Mawasiliano : 0753288167 Call/whatsap
Viwanja
TZS 70,000,000
viwanja ultimate properties Pro viwanja ultimate properties 1 year
VIWANJA KIGAMBONI CHEKA
TZS 13,200,000
VIWANJA KIGAMBONI CHEKA
Dar es Salaam
????KIGAMBONI - CHEKA???? —SURVEYED PLOTS—- ????UMBALI WA KM 1 TU KUTOKA BARA BARA YA LAMI ????VERY Exceptional Neighborhood ????HUDUMA ZOTE ZA JAMII KAMA UMEME NA MAJI ZIMEFIKA MPAKA VILIPO VIWANJA NA TAYARI WATU WAMESHAANZA KUJENGA???? BEI NI KWA SQM 1 sqm = 18,000/= ????AINA YA MALIPO NI KWA MKUPUO(cash) AU KWA MKOPO(installment) KWA AWAMU TATU TU???? ???...
Viwanja
TZS 13,200,000
Clara Indah Pro Clara Indah 1 year
2024 Giant TCR Advanced SL Disc 0 Road Bike
$ 7,100
2024 Giant TCR Advanced SL Disc 0 Road Bike
Mara
Buy 2024 Giant TCR Advanced SL Disc 0 Road Bike from DreamBikeShop is 100% safe, because the purchase of products at DreamBikeShop provides official genuine products and 100% money back guarantee. Product : Available & 100% New Original Price : $ 7100 Min Order : 1 Unit Lead Time : 6 – 9 Days Port : CIV / Kualanamu International Airport Payment : Wise, B...
Bidhaa za Michezo na Baiskeli 20123 - Jl. Gatot Subroto No.217, Sei Sikambing B, Kec. Medan Sunggal, Kota Medan, Sumatera Utara
$ 7,100
RAM HOLDINGS TANZANIA LTD RAM HOLDINGS TANZANIA LTD 4 months
BURKA EXQUISITE 4BED VILLA
TZS 5,000,000
BURKA EXQUISITE 4BED VILLA
Arusha
BURKA EXQUISITE|4BED VILLA|$1700 - $1200 About this space; Burka Exquisite home is a four bedroom house located in a lovely and quiet neighbourhood at Burka, Arusha with a beautiful view of Mount Meru. It is only 15 minutes drive from Arusha CBD and 5 minutes drive from Kisongo (Arusha) Airport. The spacious luxury home features 4 bedrooms (all ensuits), gue...
Nyumba za Kupanga Ngorongoro Building, Floor No 9 Room No 120
TZS 5,000,000
Are you a professional seller? Create an account