Bei ya Viwanja mpya na used kutoka kwa wauzaji mbalimbali Mwanza Tanzania. Find great deals on different products from verified sellers on Zoom Tanzania.
Kiwanja kinauzwa buswelu - ilalila jirani na shule ya nebrix -kiwanja kina ukubwa wa sqm 405 -kiwanja kimepimwa tayari -bei Milioni 2 na laki 5 -umeme, maji na barabara vyote vipo
KIWANJA KINAUZWA NYASHISHI - MWABEBEYA -ukubwa wa kiwanja ni 20x22 -kiwanja kimepimwa tayari -umeme, maji na barabara vipo -bei Milioni 2 ???? 0743220097