Gift set nzuri sana kwa ajili ya watu wa maofisini. Inaweza kuwa ni wafanyakazi wako, wawekezaji wako, marafiki au wewe binafsi. Set ina; Flask yenye Temperature Lid (500mls) inatunza joto/baridi. Mouse Pen Flash Powerbank Vyote vinaandikwa ujumbe/Logo unayotaka. Set zipo za rangi nyeusi, gold na blue.