159 Products For Sale in Dar es Salaam
Bei ya Mauzo ya Jumla mpya na used kutoka kwa wauzaji mbalimbali Dar es Salaam Tanzania. Find great deals on different products from verified sellers on Zoom Tanzania.
There was problem loading your listings, please try to refresh this page
Refresh
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Shield Award Plaques
TZS 100,000
Shield Award Plaques
Dar es Salaam
Wooden Shield Award Plaques Award nzuri sana for any occasion. Printed anything you want. #AwardsTanzania #Tuzonzuri #GifteryShopTz
TZS 100,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Crystal Awards
TZS 100,000
Crystal Awards
Dar es Salaam
A very Classic crystal awards. Printed chochote utakacho. Award nzuri kwa tukio lolote. #CrystalAwardTz #PrintedAwards #GifteryShopTz
TZS 100,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Office Gift Set
TZS 100,000
Office Gift Set
Dar es Salaam
Gift set nzuri sana kwa ajili ya watu wa maofisini. Inaweza kuwa ni wafanyakazi wako, wawekezaji wako, marafiki au wewe binafsi. Set ina; Flask yenye Temperature Lid (500mls) inatunza joto/baridi. Mouse Pen Flash Powerbank Vyote vinaandikwa ujumbe/Logo unayotaka. Set zipo za rangi nyeusi, gold na blue.
TZS 100,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Acrylic Awards
TZS 90,000
Acrylic Awards
Dar es Salaam
Awards nzuri zenye shape utakayo. Tuna design kulingana na hitaji la mteja. Nzuri na nene zenye uzito wa kawaida, rahisi kubebeka. Tunaandika maneno/picha unayotaka. Nzuri kwa matukio tofauti tofauti, kumpa Boss, Best Employee, Rafiki, Mama, Baba n.k
TZS 90,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Gift Set
TZS 80,000
Gift Set
Dar es Salaam
Gift set yenye Items 3 tu. Flask (mls 500) inatunza joto/baridi. Notebook (size A5) Peni Ni zawadi nzuri kwa wafanyakazi, rafiki, Boss au yeyote unayemthamini. Vyote vinafaa kuandika jina/Logo/maneno unayotaka.
TZS 80,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Wooden Clock
TZS 75,000
Wooden Clock
Dar es Salaam
Hizi saa ziko very Classic & Unique. Size A3 Tuandaa kulingana na hitaji la mteja. Zipo zenye Whiteboard kwa nyuma na zenye Wooden board. Nzuri kwa zawadi ya Send-off, Harusi, Birthday, Anniversary n.k
TZS 75,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Gift set (4 in 1)
TZS 65,000
Gift set (4 in 1)
Dar es Salaam
Gift set ina Notebook, Pen Keyholder Cardholder Vinakuwa branded chochote utakacho. Kwa Cooperates au personal gift #simplecooperategiftset #gifteryshoptz #customizedgiftset #cooperatesgiftsettanzania
TZS 65,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Mini Bamboo Gift Set
TZS 65,000
Mini Bamboo Gift Set
Dar es Salaam
Mini Bamboo Gift Set Bamboo Flask with Temp Lid (500mls) Bamboo Pen Bamboo Keyholder. Zote zinafaa kuandikwa maneno utakayo (branding) #MiniBambooGiftSet #Simplegiftsettanzania #gifteryshoptz
TZS 65,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Wooden Clock Table Frame
TZS 60,000
Wooden Clock Table Frame
Dar es Salaam
Decoration nzuri sana kumpatia mtu zawadi. Ni wooden Frame yenye saa pembeni. Inafaa kuweka maneno mazuri utakayo/Logo (Branding) Inafaa kukaa Ofisini au nyumbani. Inafaa kuwa zawadi au Binafsi. Material ni Mbao.
TZS 60,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Rock Slate Frame
TZS 60,000
Rock Slate Frame
Dar es Salaam
Ni rock frame nzuri sana. Nzito (ni rock material) Ina stand yake. Inafaa kuweka picha na maneno utakayo. Nzuri kwa zawadi ya jinsia yoyote kwa tukio lolote. Size A5 & B5.
TZS 60,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Leather Desk Organiser
TZS 55,000
Leather Desk Organiser
Dar es Salaam
Hii Organiser nzuri sana kuiweka ofisini. Material yake ni leather quality nzuri mno. Tunaandika maneno unayotaka. Inafaa kwa ajili yako/zawadi kwa wafanyakazi/Boss wako ofisini #officegifts #leatherdeskorganiser #cooperatesofficegifts #Gifteryshoptz
TZS 55,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Medal Of Honor Frame
TZS 50,000
Medal Of Honor Frame
Dar es Salaam
Frame nzuri sana kwa waheshimiwa, Boss n.k Medal Of Honor inafaa kuwa kama certificate ya shukran. Inafaa kuweka picha na maneno utakayo/Logo pia. Ni Size A5.
TZS 50,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Mini Bamboo Set
TZS 45,000
Mini Bamboo Set
Dar es Salaam
Hii Set ina Notebook (Size A5), Pen & Keyholder. Inaandikwa chochote unachotaka iwe ni Jina/Logo au maneno. Ni nzuri kwa matumizi Binafsi, Cooperates au hata kumzawadia umpendae. #giftsetnzuri #bamboogiftset #simplecooperategifts #gifteryshoptz #customizedgiftstanzania #zawadisimpletanzania
TZS 45,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Branded Flask 500mls
TZS 35,000
Branded Flask 500mls
Dar es Salaam
Flask zenye ujazo wa mls 500 Zinatunza joto/baridi la kinywaji kwa masaa 8+ Zipo za rangi tofauti tofauti.. Black, Pink, Blue, White, Grey n.k Zinafaa kuandika maneno/ujumbe/Logo utakayo. Nzuri kwa kumzawadia mtu au matumizi binafsi.
TZS 35,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Bamboo Flask Disk
TZS 30,000
Bamboo Flask Disk
Dar es Salaam
Bamboo Flash Disk yenye GB 16 Inakuwa Customized Logo/maneno/Jina unalotaka. Inafaa kutoa zawadi kwa wafanyakazi wako, wanakamati, marafiki n.k Inakuja na Box chake cha kuhifadhia.
TZS 30,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Picha frame (kioo)
TZS 25,000
Picha frame (kioo)
Dar es Salaam
Hizi frame za picha ni very Classic.! Nzuri kupendezesha kuta za nyumba yako, ofisi, restaurant, hotel, kumpa mtu zawadi n.k Tunatengeneza picha uitakayo wewe, iwe ni maneno au picha. Size A4 Tsh 15,000 Size A3 Tsh 25,000 Size A2 Tsh 60,000 Size A1 Tsh 90,000 #Glasspictureframe #pichanzuri #pambolaukutani #framezapicha #framezakioo #Gifteryshoptz
TZS 25,000
Victor Stunna
2 weeks
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Tote/Jute Bags
TZS 25,000
Tote/Jute Bags
Dar es Salaam
Tote Bag zinazodumu sana. Material yake ni nzuri mno alafu nzito. Inafaa kuwa printed chochote, Logo/Jina/Maneno n.k Size ni A3. ❌️ Haina Zipu, ina kifungo.
TZS 25,000
Pro
Giftery Shop tz
4 months
Safari/Travel Pillow
TZS 25,000
Safari/Travel Pillow
Dar es Salaam
Printed Safari/Travel Pillow. Inakupa Comfortability ukiivaa uwapo safarini. Inakusaidia kuondokana na maumivu ya shingo kwa safari ndefu. Ni soft sana Inaandikwa (branding) jina utakalo. Zipo za rangi tofauti tofauti (nyingi)
TZS 25,000
Paul Lubega
1 month
Green Coffee beans (Arabica Coffee) Grade: AA, A, and AB+27719755564
TZS 8,987
Green Coffee beans (Arabica Coffee) Grade: AA, A, and AB+27719755564
Dar es Salaam
Product: The Green Coffee beans (Arabica Coffee) Grade: AA, A, and AB Packaging: Jute Gunny Bags of 60kgs (Net Weight) Quality Description: AA for Screen 17, A for Screen 16 and AB for Screen 15. -This undergoes grading machines (Buhler and Cimbria), Sorting is by gravity table and color sorter. Shipment Quantities: 20ft containers Origin: DRC PRICES =======...
TZS 8,987
Victor Stunna
2 weeks