Bei ya Bidhaa Nyingine mpya na used kutoka kwa wauzaji mbalimbali Morogoro Tanzania. Find great deals on different products from verified sellers on Zoom Tanzania.
NYUMBA 4(4in1) ZINAUZWA MICHESE DODOMA Zipo umbali wa kilomita 7.6 kutoka city center na mita 70 kutoka reli ya SGR. Zipo nyumba nne, mbili zimekamilika kila kitu. Zipo kwenye kiwanja kimoja chenye ukubwa wa 2600sqm, kimepimwa na kina hati. Nyumba ya kwanza Ina vyumba vikubwa viwili vyote master , sebule na sehemu ya jiko na dinning. Nyumba ya pili inafanana...