NYUMBA 4(4in1) ZINAUZWA MICHESE DODOMA
Zipo umbali wa kilomita 7.6 kutoka city center na mita 70 kutoka reli ya SGR.
Zipo nyumba nne, mbili zimekamilika kila kitu. Zipo kwenye kiwanja kimoja chenye ukubwa wa 2600sqm, kimepimwa na kina hati.
Nyumba ya kwanza Ina vyumba vikubwa viwili vyote master , sebule na sehemu ya jiko na dinning.
Nyumba ya pili inafanana na ya kwanza Ina vyumba vikubwa viwili vyote master, sebule na sehemu ya jiko na dinning.
Nyumba ya tatu haijakamilika, ni pagale lenye vyumba vitatu vyote master, sebule na sehemu ya dinning.
Nyumba ya nne ni servant quarter Ina chumba master na sebule, chumba master peke yake na public toilet.
Kuna eneo la laundry, kisima Cha maji kirefu sana, matenki, compound Ina paving blocks na garden ya kuvutia. Eneo lote limezungukwa na fensi. Ujenzi umezingatia standard ya juu sana.
Kuna eneo kubwa limebaki unaweza kujenga nyumba zingine na kuweka swimming pool.
Nyumba hizi zinafaa sana kibiashara. Unaweza ku-redesign kuwa lodge au hotel. Aidha unaweza kuzifanya ziwe nyumba za kupangisha au ukaziongezea thamani zikawa full furnished apartments.
Bei ni milioni 180Ml.
Tupigie 0769619980
Kwa maelezo zaidi.
Read more