Bei ya Bidhaa Nyingine mpya na used kutoka kwa wauzaji mbalimbali Dar es Salaam Tanzania. Find great deals on different products from verified sellers on Zoom Tanzania.
ENEO LINAUZWA KIGONGO FERRY -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -eneo limeshapimwa tayari -ukubwa wa eneo ni heka moja (1) -bei Milioni 20 ( maongezi yapo pia ) NB:- eneo lipo Km 2 kutoka daraja la JPM ☎️ 0743220097