Hizi hapa Bidhaa mbalimbali zinazopatikana Dar es Salaam. Nunua simu, kompyuta, gari, ardhi au bidhaa yoyote mkoani Dar es Salaam kwa bei nafuu kupitia Zoom Tanzania.
NYUMBA INAUZWA ILEMELA -ina vyumba vinne vya kulala ( vyumba vitatu ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni sqm 970 -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 250