Bei ya Bidhaa Nyingine mpya na used kutoka kwa wauzaji mbalimbali Dar es Salaam Tanzania. Find great deals on different products from verified sellers on Zoom Tanzania.
Kirutubisho bora sana cha mimea na udongo. Huleta mavuno mengi shambani, husaidia udongo kuhifadhi maji muda mrefu, ukijani kwa muda mrefu, matunda na mazao makubwa na bora, huokoa gharama na matumizi makubwa ya mbolea na viwatilifu shambani.. Jipatie super gro kwa bei ya ofa.