Nunua bidhaa mpya na zilizotumika kwa bei nafuu, kama unatafuta gari, nyumba, smartphone, kompyuta, TV au bidhaa nyingine yoyote utaipata hapa Zoom Tanzania kwa bei nafuu.
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA BUSWELU WILAYANI -ina vyumba viwili vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Tsh Milioni 5 kwa mwaka -malipo ni miezi sita NB:- Nyumba mbili (2) kwenye fensi moja ☎️ 0743220097