Kichomi hutokea mapafu yanapovimba kwa sababu ya maambukizi Kama nimonia au kifua kikuu.mara nyingi tatizo hili ni ishara ya kuwepo maambukizi ya virusi kwenye mapafu.pia maumivu kichomi yanaweza kusababishwa na 1)Magonjwa yanayosababishwa na asbesiti 2)Saratani fulani 3)Jeraha au kuumia kifuani 4)Magonjwa ya baridi yabisi
UKOMBOZI ni dawa ya asili mujarrabu kwa kutibu magonjwa mbalimbali kama vile 1)Kutoa uchafu tumboni unaosababisha maradhi 2)Kutoa sumu zitokanazo na madawa ya kemikali na vyakula vya viwandani 3)Kushindwa kumudu tendo la ndoa (kupungua nguvu) au kumaliza haraka 4)Maumivu ya kiuno ,mgongo,au ganzi 5)Matumbo ya wakina mama Kama chango nk 6)Matatizo ya figo na ...
Hii nidawa bora ya KUNENEPESHA huume kwa wenye umbile dogo napia imaimalisha misuri kwa wale walio regea misuri ya huume kwa sababu tofauti tofauti hii ndo tiba pata umalize tatizo lako
Chanzo cha tatizo hili huanzia kwenye figo.figo huenda zikawa zinatengeneza mkojo mwingi zaidi ya kiwango kinachoitajika.homoni ADH huambia figo kutengeneza mkojo mchache kiwango cha kawaida na Mara nyingi homoni hiyo hupungua nyakati za usiku.wakati unapotokwa na mkojo kitandani huenda homoni za ADH zimepungua ama figo hazifanyi kazi kama inavyostaili Kiwan...
Saratani ya matiti ni mabadiliko ya chembechembe hai zilizopo kwenye matiti Saratani hii kwa kawaida haina dalili katika hatua za kwanza hivyo unashauriwa kufanya uchunguzi wa Saratani mara kwa mara
KASHKASH ni ya asili mjarabu kwa matumizi ya Kurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa mwaume na mwanamke na ni dawa mzuri kwa Kuongeza radha ya tendo la ndoa
Ni dawa inayotibu magojwa ya tezi dume 1)Inatibu tezi dume 2)Inazibua mirija ya mkojo 3)Inaimarisha mishipa 4)Inasafisha kibofu cha mkojo 5)Inatibu ngiri 6)Inatoa gesi 7)Inatibu maumivu ya mgongo
Forever ARGI+ – Kirutubisho cha Nguvu na Afya Forever ARGI+ ni kirutubisho chenye L-Arginine, kinachoboresha mzunguko wa damu, kuongeza nishati, na kusaidia afya ya moyo na uzazi. Faida ✔ Afya ya moyo – Hupanua mishipa ya damu na kupunguza shinikizo la damu. ✔ Nguvu na stamina – Huongeza nishati na kusaidia mwili kupata nafuu haraka. ✔ Afya ya uzazi – Hubore...