Kutambua na kutibu hali yoyote hiliyosababisha kufeli kwa figo ndio hatua muhimu sana ya kukabiliana na ugonjwa huu.matibabu huakikisha kuwa madhara zaidi hayafanyiki na hivyo kuzipa nafasi figo kupona
DALILI ZA UGONJWA WA FIGO
dalili za ugonjwa huu ni pamoja kushindwa kupumua,maumivu kwenye kifua,kutapika damu,mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida,kukosa hamu ya kula,kichefuchefu,kutapika na kwikwi,kuvimba kwa vifundo vya miguu,kuongezeka uzito,kupoteza damu nyingi,kuhisi homa na baridi,uchovu wa mwili na hata kuchanganyikiwa.
MATIBABU NA HATUA ZA KUZINGATIA
Inaondoa vijiwe kwenye figo
Lengo ni kusaidia kuzuia au kutibu matatizo yoyote ya figo
Kutibu maambukizi na kuzuia dawa zozote ambazo zinaweza kudhuru figo
Kutumia dawa za Zain ambazo husaidia kutoa mkojo hili kuzuia mwili kuvimba na mgonjwa kushindwa kupumua
Hatua zingine Zain husaidia kuzuia shinikizo la damu,kutapika,kushinwa kupumua,kuzimia na pia kupunguza kiwango cha madini ya potasium mwilini
USHAURI WA VYAKULA
Kuzingatia vyakula vinavyofaa kupunguza dalili za figo kufeli,kuzuia vyakula vyenye potasium hili kuifanya isiwe nyingi kwenye damu na kupunguza chumvi ili kuzuia kuvimba kwa mwili
KATIKA UGONJWA WA FIGO MATIBABU YA MAPEMA NA YANAYOFAA NA HUSAIDIA FIGO KUPONA BILA YA DAYALISISI
Read more