TOYO NZURI, YENYE ENGINE NZURI KABISA NA INA CONDITION NZURI KWA ANAEHITAJI WASILIANA NASI KWA NAMBA:0754463055 TUNAPATIKANA: MBAGALA, MGENINANI KARIBUNI.
Contact us @ Allied Technologies LLC for the purchase and deliver of your good working new condition UTV's and ATV's. 2022 Can-Am Spyder F3-S SPECIAL EDITION 2023 Can-Am Spyder F3-S SPECIAL EDITION 2022 CF MOTO 800CC ATV 4x4 CFORCE 800 XC 2023 CF MOTO ATV CFORCE 800 XC E-Mail : [email protected] WhatsApp : +17622334358
Piki piki inauzwa.Ipo kwenye hali nzuri sana.Haijawah funguliwa engine.Imekua ikitumika kwa ajili ya delivery tu.Ni piki piki ya kampuni.Ofis zetu zipo kkoo na mwananyamala.Karibuni kwa maelezo zaidi
Guta Za Kuchaji za Elemo Zinapatikana Dukani Kwetu Temeke VETENARI kwa Bei ya Ofa 3,200,000 Inatembea Hadi kms 75 ikiwa full Charged Inabeba Hadi Kgs 500 Warranty ya body Mwaka mmoja Warranty ya battery miaka mitatu
Pata Bajaji yako ya Umeme LEO ! Chaji nyumbani kwa Tsh 3,000 tu kwa masaa 2.5, na furahia safari za kirafiki kwa mazingira za kilomita 100. Ikiwa na uwezo wa kubeba kilo 400, inakabiliana hata na vilima vikali! Yote haya kwa Tsh 8.6 milioni tu za Kitanzania. Mikopo unapatikana.