Bagamoyo
Shamba Real Estate For Sale In Kiwangwa
Shamba lipo Kiwangwa eneo linaloitwa Bago katika kijiji cha Msinune. Lina ukubwa wa takriban eka mbili (02) kasoro hivi. Jirani n shamba ipo Shule ya Msingi Msinune. Barabara ya vumbi inafika hadi shambani na gari zinafika kiurahisi. Umbali kutoka shambani hadi barabara ya lami inayotoka Bagamoyo kuelekea Msata ni kama Kilometa 1 hivi. Linafaa kwa kilimo cha...
TZS 5,000,000