Shamba Real Estate For Sale In Kiwangwa

Land 2623 views New Sell ID: 43
TZS 5,000,000
Make price offer

Published on 2022/11/25. Modified on 2022/11/25.

Description

Shamba lipo Kiwangwa eneo linaloitwa Bago katika kijiji cha Msinune. Lina ukubwa wa takriban eka mbili (02) kasoro hivi. Jirani n shamba ipo Shule ya Msingi Msinune. Barabara ya vumbi inafika hadi shambani na gari zinafika kiurahisi. Umbali kutoka shambani hadi barabara ya lami inayotoka Bagamoyo kuelekea Msata ni kama Kilometa 1 hivi. Linafaa kwa kilimo cha mananasi, mihogo, mahindi, michungwa, limao na migomba (ndizi). Bei ya shamba hilo ni shilingi milioni Tano (5,000,000). Gharama za Serikali ya Kijiji ni za mnunuzi (buyer). Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0744 627 333 au 0712 682 475. KARIBU SANA.

Location

Bagamoyo
Pwani
Tanzania
-6.44222, 38.90422
Get directions →
71268xxxx Send Message
Alphonce Kamisa
Alphonce Kamisa
1 active listings
Last online 2 years ago
Registered for 2+ years
Bunju , Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
71268xxxx
Seller's profile All seller items (1)

Be careful!

Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement.
No serious private advertisers ask for a down payment before you meet.
Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
Report listing

71268xxxx Send message
Are you a professional seller? Create an account