Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA -chumba kimoja self contained, sebule na jiko -umeme na maji unajitegemea -kodi 350,000 kwa mwezi -malipo ni miezi sita NB:- *Nyumba ya kwanza kutoka barabara ya lami ☎️ 0743220097
Nyumba inapangishwa ( stand alone ) buhongwa -ina vyumba vinne vya kulala ( vyumba 3 ni master ), sebule, jiko, stoo na public toilet -kodi ni Tsh 500,000 kwa mwezi -malipo ni miezi sita NB:- Nyumba moja ndani ya fensi
Nyumba mpya inapangishwa nyegezi -ina vyumba vitatu (3) vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -kodi Tsh 500,000 kwa mwezi -malipo ni miezi sita NB:- nyumba moja ndani ya fensi
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA BUSWELU WILAYANI -ina vyumba viwili vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Tsh Milioni 5 kwa mwaka -malipo ni miezi sita NB:- Nyumba mbili (2) kwenye fensi moja ☎️ 0743220097
NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA BUSWELU -ina vyumba viwili vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Tsh 300,00 kwa mwezi -malipo ni miezi 6 NB:- Nyumba zote tatu (3) zipo wazi ☎️ 0743220097