📍 Mahali: Misugusugu, Kibaha (Karibia na grid ya umeme ya taifa) 📐 Ukubwa: 24m x 28m = 672 sqm 🏠 Msingi wa Nyumba ya Kisasa Tayari ➡️ Vyumba 4 (viwili ni Master) ➡️ Sebule, Dining, Jiko, Store, na Public Toilet 🛠️ Spetic Tank limechimbwa 🧱 Matofali 300+ tayari yapo site ⚡ Umeme, barabara na Maji vipo jirani kabisa 🗺️ Ramani ya Nyumba utapewa bure kabisa! 💸 B...
Kwa wateja serious only ,tufanye Biashara Kiwanja kina nyumba kumbwa na chumba kimoja cha ziada kwa nje, Kipo :- msongola, ilala Bei :- 25 million Ukubwa :- 318 square mita
Shamba linauzwa lipo kijiji cha bago kata ya kiwangwa halimashauli ya chalinze wilaya ya bagamoyo linaukubwa wa heka 100 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa umbali kutoka lami kilometa 9 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 whatsapp ipo bei sh laki tano kwa heka moja kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana
🏝️ Beach Plot for Sale – Kigamboni, Mwongozo (Bamba Beach) 🏝️ 📍 Location: Mwongozo – Bamba Beach, Kigamboni 📏 Size: 5,519 sqm 📜 Documents: Hati miliki safi 🌊 Feature: Beach front – inafaa kwa hotel, resort, restaurant au nyumba za likizo 🏢 Zoning: Commercial area 🚗 Distance: ~6 km kutoka Kigamboni Ferry (dakika 15–20 kwa gari)
🎉 *TANGAZO LA MAUZO – MWANZA* 🎉 👉 *Kiwanja chenye nyumba kinauzwa moja kwa moja na mmiliki – *Hakuna dalali!** 📍 *Eneo:* Kalwande, Mwanza ➡️ Karibu na: - Hospitali ya *Bukumbi* - *Chuo cha Ufundi* - *Kituo cha Wazee* - *Daraja la Magufuli (Busisi–Kigongo)* - Km 15 kutoka Buhongwa - Mita 200 kutoka barabara ya Geita–Mwanza 🏡 *Nyumba:* - *Chumba kimoja (self-c...
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 40 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa hata makazi pia umbali kutoka lami kilometa 4 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 kuona bule asante sana